Watanzani wa vijijini ni mizigo tu hawana hata akili za kutambua mema na mabaya....wamechokwa kiukweli lakini kwa kuwa wao ni waasisi wa chama cha machangu, basi hawana idea kuwa wahawatakiwi na watanzania.
Watanzani wa vijijini ni mizigo tu hawana hata akili za kutambua mema na mabaya....
Tunahitaji hamasa za kutosha kuwaamsha watu!
Watu gani? Watanzania? Naona watanzania kama siyo watu vile! Watu gani wawe na vichwa ngumu vya kuvumilia shida na tabu zinazosababishwa na serikali ya CCM?!
CCM inapumulia machine. Kifo chake rasmi ni 2015.
2015 kweli ndo mwisho wa chama cha mwalimu nyerere.
nyerere alishatabiri maumivu hayo ya chama cha magamba
magamba nikiki lau sia ngiaribu game lii kabisa maana kila siku mlaiendelea tiki
magamba nikiki lau sia ngiaribu game lii kabisa maana kila siku mlaiendelea tiki
Wepi wanakubalika Na Wananchi Na wepi wamechokwa!
Wamechokwa...hawaliki hata kwa kutiwa ndimu!
Ndimu yake supu.
Supu ya mbuzi inaleta gaoti.
Gaoti ni ugonjwa mbaya sana.
Sana! Nikisikia magonjwa nahisi kuchanganyikiwa,na mgomo huu wa maDr!
Madaktari wagome tu, ili serikali ishike adabu.
adabu watashika wananchi si serikali
Mbele yetu kuna mambo mengi sana tunayoaswa kuwa nayo makini kama watu wasio na upeo
serikali ya jk nayo ni pasua kichwa ngoja tuone huo mgomo
Mgomo ukianza tena watu watakufa mahospitalin n heri magamba waangalie hii kitu isijetokea.
Isijetokea nao madaktari wakafukuzwa kazi.