haliishi mpaka dec 31st! asiyetaka asepe!
Asepe mnyoge mashujaa tunakomaa!
Tunakomaa na pesa kama wachaga
machame hakuna dili, usizubae njoo dar utafute pesa!
Pesa ya koffe olomide imemfanya amiliki majumba ya kifahari duniani.
duniani sisi niwapitaji tu...mji wetu wa kudumu uko mbinguni.
Mbinguni wengine tutapasikia kwenye maandiko tu,
Mambo yote Motoniii!!!
Roho kuuma mwenzenuu!!
Sana inazidi kiasi kwenye kushukuru..
Kushukuru ni suala la muhimu sana pale unapotendewa jambo ambalo halikuwa la lazima kwa unayemshukuru,kukutendea.
kukutendea mema napenda lakini unaniudhi sana wewe.
Amechakazwa vibaya sana, nimewachukia hawa wahusika.wewe umeona jinsi dr ulimboka alichakazwa?
Amechakazwa vibaya sana, nimewachukia hawa wahusika.
Wahusika wapo na wanajulikana,
nyuso zao nzito kama futari ya Magimbi.
Magimbi ya morogoro hasa. Ila siku zao zinahesabika.