Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Mamndenyi hv mwanao kafia wapi? Au yuko kwenye Mgomo?
Maana ndoa tamu.
Tamu lakini nini kiliwafanya muanze kubanjuana kabla ya harusi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamndenyi hv mwanao kafia wapi? Au yuko kwenye Mgomo?
Maana ndoa tamu.
Tamu lakini nini kiliwafanya muanze kubanjuana kabla ya harusi.
harusi k2 gani lazima kuonja kwanza
Kwanza mnaonjana,
isije ikafika siku ya siku mko ndani,
kushtuka bwana ana kibamia.
kibamia ahahahahaha ki2 ni 8
8??!!!!......mh!!
mh! ! Nimi wakati hicho ndo k2 cha ukwel
game played by those who know how to play it right..
right man!...and this is how i do!
Don't go anywhere madame B
Madame B,
am right here Qixima mQiqa
Mqiqa ndo jina la wapi tena jamani.
mambo vipi mtu mzima? mbona sielewi hii game inachezwaje,endelea kutoa mifano zaidi ili nielewe.
Nielewe??? Yaani muda wote huo huelewi? Bwana/bibi ndagabwene tunaanza na neno la mwisho la mchangiaji wa mwisho. Mfano hapo juu nimeanza na neno la mwisho la sentensi uliyoandika. Umeelewa sasa??
watu gani nilioingilia kazi yao??
yao yanawashinda...heri uendelee tu wewe!