JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

....Kama wa Binadamu.
Aisee tamu sana kile kitu.
Sema huwezi ondoka nacho.
Ningekuwa na uwezo,natia ktk Handbag naenda nacho Kazini kiungo cha Mchumba 'angu.
Mchumba'angu.....!!! Kumbe una mchumba? Dah! Sina changu nilishaanza kujipanga kurusha nyavu....
 
Mchumba'angu.....!!! Kumbe una mchumba? Dah! Sina changu nilishaanza kujipanga kurusha nyavu....

Nyavu zikinasa Baharini zinaweza ibuka na Chochote Katavi
So,endelea tu kurusha...!!
 
Nyavu zikinasa Baharini zinaweza ibuka na Chochote Katavi
So,endelea tu kurusha...!!

Kurusha nyavu kunahitaji timing, unaweza kuibuka na wadudu wa ajabu wa baharini badala ya wale uliokusudia.
 
Back
Top Bottom