JamiiForums game of the year

anitangaze me km mshindi, afu nampa cheo cha u-super moderator hapa jf hajui km me ndo huwa nawachagulia vyeo?
 
Dushelele tu ndio nini?? Inaonekana watu wanaipenda sana hiyo, nami Remmy naomba hiyo dushelele...

Dushelele.....dushelele.....nikupe wewe? Ulivokatoto hivo? Mi nawapa Wakubwa tu.
 
Last edited by a moderator:
Dushelele.....dushelele.....nikupe wewe? Ulivokatoto hivo? Mi nawapa Wakubwa tu.

Wakubwa tu???
Tafadhali haka sio katoto maisha tu yamekapiga lakini ni kakubwa kuliko hao wakubwa unaowapa dushelele....by the way bado hujanijibu Dushelele ni nini??
 
Nini bana? Unataka kitu Usokijua? Dushelele ni mshededee.
 
Wakubwa tu???
Tafadhali haka sio katoto maisha tu yamekapiga lakini ni kakubwa kuliko hao wakubwa unaowapa dushelele....by the way bado hujanijibu Dushelele ni nini??
nini??!! hujui maana ya dushelele?? Remmy mjuze mwenzako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…