catherine kwan haka ka mchezo ujakasoma tu..
Kiti hakitaninyima zawadi yangu ingawa hata mi situmiizawadi nitakupa ukiacha kula kiti...mie ustadhat mwaya na situmii kiti
wapi zaidi ya kujidungia ndofu? Smiling Saint mi nikisense ndoa haidumu nachakachua
hapa tunamtafuta mshindi catherine!!
catherine kwan haka ka mchezo ujakasoma tu..
tu... tulia hapo hapo.
game haliishi ng'oooooooo!!Hapo ndo n'napopataka,
Wagumu tunaliendeleza game.
game haliishi ng'oooooooo!!
Ng'ombe na Mbuzi yupi ana faida kwa Binadamu?
Binadamu anamuona ngo'mbe ana faida kuliko mbuzi, sababu ngo'mbe waweza mtumia pia kwenye kilimo kwanza,
Kwanza subiri mathematics,
hv Kilimo Kwanza ndo Kauli Mbiu ya Kulisongesha Gurudumu la Ukulima?
kisASA na usasa unawaponza madada zetu siku hizi, nguo inakamata nyama, utafikiri amejipaka rangi tu kwa ngozi,Ukulima wa kisasa.
kisASA na usasa unawaponza madada zetu siku hizi, nguo inakamata nyama, utafikiri amejipaka rangi tu kwa ngozi,
mikorogo yao hiyo ya kichina wanaambiwa ina kansa lakini wamekuwa viziwi, hawataki sikia wala elewa, wanaona wanakoseshwa urembo!
Urembo bongo, mrembo alikuwa cleopatra.
masiha ambao wayahaudi walimkataa wakamsulubu, hadi leo wanamsubiri masiha wao,Cleopatra alikuwa mtawala wa misri kipindi kirefu kabla hajazaliwa masiha.
masiha ambao wayahaudi walimkataa wakamsulubu, hadi leo wanamsubiri masiha wao,