JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Yao mafanikio, chachu ya maendeleo
Mengi matamanio, kwao ndio kusudio
JF game of the year, sentensi yangu malizia
 
mikorogo yao hiyo ya kichina wanaambiwa ina kansa lakini wamekuwa viziwi, hawataki sikia wala elewa, wanaona wanakoseshwa urembo!
 
Taarifa kwa wachangiaji! Kuna mengi ya kujadili yenye maslahi, wanaochangia ishu za siasa tu nadhani ni mambumbumbu
 
Back
Top Bottom