JamiiForums game of the year

mshindi siyo lazima awe Javascript the person, It could be javascript the scriptting language.

Language gani mnayoongea jamani?/
Halafu nasikia kuna watu wanajitangaza washindi wakati majaji bado hawajaamua...
 
Language gani mnayoongea jamani?/
Halafu nasikia kuna watu wanajitangaza washindi wakati majaji bado hawajaamua...

hawajaamua...ila tayari ameshajulikana wanasubiri tu siku ifike wamtangaze.
 
Hii ya leo kali, wote mnajishembendua tu...wangu ushindi utadhihirika mwishoni
 
Dem mwema? Labda kama unataka friends with benefits..hapo.utapata wengi..

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wengi waliomo humu hawajulikani jinsia zao.

Jinsia zao zimefichwa kwenye ID zao. Ila mbona mie naifahamu ya kwako Katavi ? Nkisoma katikati ya mistari, lol
 
Last edited by a moderator:
vina unavyo wewe javascript au wajigama bure?! kama unavyo hebu tupe mfano,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…