mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
jiji la daresalama lina mambo!
mambo makubwa sana, sema tu watu tunyapotezea ili maisha yaendelee
Yaendelee kama siku zote.
tauari ramadhani imefika utasikia mie nina vidonda vya tumbo so sitafungaZote ni ngapi kwani, zaidi sana ni 39 ya 40 tayari.
tauari ramadhani imefika utasikia mie nina vidonda vya tumbo so sitafunga
sitofunga maana kushinda na njaa naona kama ni kipaji
Kipaji cha kushinda na njaa wanatunukiwa wachache sana,
wengine tunashinda nao huko kwa akina mama ntilie.
mama n'tilie wa jirani anasema siku hizi biashara inachanganya sana, anaomba ramadhani iendelee,
sababu wakati sio wa mfungo wengi walikuwa wanakula majumbani kwao,
sasa hivi anawashukuru makobe kwani wameongeza idadi ya wateja wanaokula kwake,
Hotel zenyewe nazo nyingi zinafungwa
Siku zote ukienda hotelini hasa hizi kubwa lazima ukutane na wazungu wengi kulko wabongo.
Wabongo wamezoea hoteli za kula ukiwa umejiachia siyo kula huku unatumia uma na kisu.
Kisu kwake jikoni bwana.
Bwana ndiye mchungaji wangu.
Uchafu ni jadi ya serikali ya CCM.
ccm kirefu chake vile ni chama cha mafisadi au chama cha majambazi?:spy: