JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Kipaji cha kushinda na njaa wanatunukiwa wachache sana,
wengine tunashinda nao huko kwa akina mama ntilie.

mama n'tilie wa jirani anasema siku hizi biashara inachanganya sana, anaomba ramadhani iendelee,

sababu wakati sio wa mfungo wengi walikuwa wanakula majumbani kwao,

sasa hivi anawashukuru makobe kwani wameongeza idadi ya wateja wanaokula kwake,
 
kwake sio kusafi mwezi huu mtukufu tutafuturu kwa hotel
 
Siku zote ukienda hotelini hasa hizi kubwa lazima ukutane na wazungu wengi kulko wabongo.
 
dhahiri Nzi we ni mdudu wa chooni na uchafu,:baby:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom