JamiiForums game of the year

Kamanda haya maneno mbona unatumia sana nguvu?
Wewe unaeshikilia kuvaa pamba aina moja ndio rahis kukutoa mshipa!
Eti mkeo. Kwani mke nini? Huyo huyo ndio poa namega then akiridi
unazama chumvini kula masalia ya shabhan.

shabhan ni mchimba chumvi?
 
wanachakachua wakijipa matumaini kuwa watakimbia na zawadi kama wanavyokimbiaga na maboks ya kura

Ha ha haaa!!! Hapa hakichakachuliki kitu maana game hili lina TOP SECURITY zaid ya mabody guard wa raisi.
 
Mmh! Huo mchezo siuwezi. Swahiba nimekuja kukusalimia. Nimekumiss wewe tu.
Tu marafiki sana swahiba, hakuna wa kuuvunja urafiki wetu. Nashukuru kwa salam swahiba, nimezipokea huku natabasamu!
 
Tanzania Tanzaniaaaa....nakupenda kwa Moyo woteee...nchi yangu desh desh desh...nakapenda haka kawimbo!
Kawimbo kazuri sana ila watoto hawafundishwi tena huko mashuleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…