JamiiForums game of the year

miili yetu tuache iwe pamoja beiby , ruttashobolwa wivu ameze vyupa,:yo:

vyupa utameza wewe utakapo jikuta uaishia kuandika kwenye hii game alaf me mtoto niko nae hapa anacheka tu.
 
Tujinafasi mwaego,
wapambe watajiju.
mathematics atajibeba mwaka huu.

mwaka huu lazima nimvishe mtu pete, mwenyewe anajijua,:smile-big:
japo analeta pozi za manyunyu kutishia jua,:high5:

penzi ni kikohozi mwisho wa siku anani-Pm anatania,:busu
na mimi nimepania,lazima nimbebe hata kama siku hiyo kutakuwa na mvua au jua,:israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…