Wasiwasi unao sema tu unajikaza mathematics,
ruttashobolwa hebu mpe ukweli wake huyo,
eti anataka kunivisha pete,wakati ushanivisha wewe.
wewe huyo mathematics achana nae kama vip baby una semaaje nilete picha nilivyo kuvisha pete ili ajitoe roho?
Mapacha? Mbona Mathematics hajawahi kuniambia?
Wasiwasi ni kwako tu ruttashobolwa amejiajiri pale town centre.
wewe huyo mathematics achana nae kama vip baby una semaaje nilete picha nilivyo kuvisha pete ili ajitoe roho?
Wasiwasi unao sema tu unajikaza mathematics,
ruttashobolwa hebu mpe ukweli wake huyo,
eti anataka kunivisha pete,wakati ushanivisha wewe.
Mapacha? Mbona Mathematics hajawahi kuniambia?
kukwambia kitu gani diaa? ebu njoo kwanza PM nikwambie :gossip:
ni kwambie ukweli mathematics huwezo kumpata huyo mtoto, unachofanya ni kama kuisubiri meli Airport, jipange sana.
Sana ajipange la sivyo tutamtupa Mabwepande awe chakula cha Pori.
Sana ajipange la sivyo tutamtupa Mabwepande awe chakula cha Pori.
ni kwambie ukweli mathematics huwezo kumpata huyo mtoto, unachofanya ni kama kuisubiri meli Airport, jipange sana.
sana nimeamua jiengua haya kila la kheri ruttashobolwa umeshinda,
kweli mnafanana nyinyi wawili wote ni wachoyo wa kugonga "likes" comments za wengine, mwapenda tu gongewa "likes" comments zenu
Madame B ;- likes received: 284 , likes given: 1
ruttashobolwa;- likes received: 489, likes given: 1
nampenda sana Mamndenyi sio mchoyo wa kugonga "likes" comments za wengine.
wengine kama....
visingizio lazima atoe maana unamchezea rafu sana na yeye ni mzee wa fair play.kama mathematics kashindwa game baby tuendelee kwa uhuru naona katumia njia nyingi kashindwa sasa analeta visingizio.
visingizio lazima atoe maana unamchezea rafu sana na yeye ni mzee wa fair play.
fair play nimecheza lakini mathematics kashindwa kumteka mtoto.
Mtoto umeshindwa kumpa like keshakushtukia. hujui kula na kulipa kuwa ni mtindo wa kisasa.
kwake ye mapenz ya dhat ndio yanamdatsha!!kisasa kwetu me na baby wangu ni makiss ya nguvu hizo like ye hapendi kwani hazimaanishi chochote kwake!