JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Wasiwasi ni kwako tu ruttashobolwa amejiajiri pale town centre.

town center ruttashobolwa alijiajiri na umachinga mgambo walimfilisi, sasa ameajiriwa pale kwa mama nanihii kumsaidia kumuuzia misosi, nakwendaga kula huwa ananijazia:smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Sana ajipange la sivyo tutamtupa Mabwepande awe chakula cha Pori.

pori la mwabepande inabidi tu lifyekwe, manake watu siku hz mjini mtu ukimgusa kidogo tu anakutishia "wee shauri yako nitakupeleka mwabepande" ,

haya Madame B na ruttashobolwa enjoy urself, mie naogopa pelekwa mwabepande kufanywa asusa
 
Last edited by a moderator:
ni kwambie ukweli mathematics huwezo kumpata huyo mtoto, unachofanya ni kama kuisubiri meli Airport, jipange sana.

sana nimeamua jiengua haya kila la kheri ruttashobolwa umeshinda,

kweli mnafanana nyinyi wawili wote ni wachoyo wa kugonga "likes" comments za wengine, mwapenda tu gongewa "likes" comments zenu

Madame B ;- likes received: 284 , likes given: 1
ruttashobolwa;- likes received: 489, likes given: 1

nampenda sana Mamndenyi sio mchoyo wa kugonga "likes" comments za wengine.
 
wengine kama....
 
Mtoto umeshindwa kumpa like keshakushtukia. hujui kula na kulipa kuwa ni mtindo wa kisasa.

kisasa kwetu me na baby wangu ni makiss ya nguvu hizo like ye hapendi kwani hazimaanishi chochote kwake!
 
Back
Top Bottom