JamiiForums game of the year

Kamanda haya maneno mbona unatumia sana nguvu?
Wewe unaeshikilia kuvaa pamba aina moja ndio rahis kukutoa mshipa!
Eti mkeo. Kwani mke nini? Huyo huyo ndio poa namega then akiridi
unazama chumvini kula masalia ya shabhan.

Shabhan!
Umenikuta naoga! Umekwapua nguo zangu na kukimbia nazo!
Sikufukuzi ng'oo!
we kimbia tu!
Amlipae ujira mpiga zumari ndiye mchagua wimbo !
wimbo niliouchagua utaucheza ?
 
Huu mchezo hauwezi kuwa na mwisho. Ningekuwa mod ningechangia halafu nafunga thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…