JamiiForums game of the year

Kuwatambua itakuwa ngumu kwani hata jina la askofu lilikuwa linajitambulisha
lakini siku hizi ilimekuwa ni kwa ajili ya kuficha maovu.

Mtu mwingine unaweza kumtambua tu kutokana na jina lake, japo nakubaliana na wewe kuna wengine huwezi kuwatambua.
 
Zaidi sana, zamani tulijua kwenye dini ndiko kwenye maadili
kumbe hali siyo hiyo, wamegubikwa na tamaa ambazo lazima zitazaa mauti.

Maovu yanayofanywa na viongozi wa dini ndio ya hatari zaidi.
 
Zaidi sana, zamani tulijua kwenye dini ndiko kwenye maadili
kumbe hali siyo hiyo, wamegubikwa na tamaa ambazo lazima zitazaa mauti.
Mauti ni mshahara wa dhambi na hawa jamaa ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…