Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Alegee kama nini??
nini kilichomfanya ageuikie njia isiyofaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alegee kama nini??
msikitini? Hapana hiyo bar hipo pale watu wanapopita
wanapopita pana u-angalau, maskini wanapoelekea hawajui,
Mtu mwingine unaweza kumtambua tu kutokana na jina lake, japo nakubaliana na wewe kuna wengine huwezi kuwatambua.Ulivyo wewe Katavi siyo kama Mamndenyi.
hata hivyo jina siyo lazima limtambulishe mtu.
Mtu mwingine unaweza kumtambua tu kutokana na jina lake, japo nakubaliana na wewe kuna wengine huwezi kuwatambua.
Kuwatambua itakuwa ngumu kwani hata jina la askofu lilikuwa linajitambulisha
lakini siku hizi ilimekuwa ni kwa ajili ya kuficha maovu.
Maovu yanayofanywa na viongozi wa dini ndio ya hatari zaidi.
Mauti ni mshahara wa dhambi na hawa jamaa ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo.Zaidi sana, zamani tulijua kwenye dini ndiko kwenye maadili
kumbe hali siyo hiyo, wamegubikwa na tamaa ambazo lazima zitazaa mauti.
Mauti ni mshahara wa dhambi na hawa jamaa ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo.
Mauti ni mshahara wa dhambi na hawa jamaa ni mbwa mwitu waliojivika ngozi ya kondoo.
kondoo ni kitoweo kizuri aisee, hasa kule mkiani
Mkiani kuna mafuta mengi kama ya kitimoto.
kitimoto yanini wakati wengine hatutumii,acheni kututega.
Kututega hamtutegi wala nini..,hamjui kuwa huu ni mwezi mtukufu?
mwezi mtukufu wamepungua wateja wa __ _ _