Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
nitarudi iwapo watarudisha fao la kujitoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitarudi iwapo watarudisha fao la kujitoa
Kujitoa fao lake haliwezi kurudi kwa kuwa hela yote wameshajengea majumba yakifahari
huku mjini.
wakarimu sana ndio wanaotoa kafaraa
Tupo au upo? Mbona unapenda kuwasemea wenzako? Haya hebu come zis way.....PM ulianza wewe Asprin, kwanini unapenda kula nyama laini hivyo,
mbona hata wenye nyama ngumu tupo.
Uchochoroni ndo kwenyewe,
unaangalia mbele na nyuma, kama hamna mtu unamchumisha mtu mchicha
fastafasta.
Fastafasta ina madhara yake lakini.
Uchochoroni hakufai,
kuna watu huwa wamezoea kujisave huko.
huko ndiko ana kupenda babu Aspirin
Aspirin si dawa kwan siku hizi ni mtu?
Mtu anayependa kufanyia vya chapu chapu uchochoroni.
Wakabaji na wabakaji pia.uchochoroni sio kuzuri kuna wakabaji
uchochoroni sio kuzuri kuna wakabaji
humu wakabaji walikuwaga zamani!! sasa hivi wamebaki washangaaj!!wakabaji tupo humu humu...