YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,702
- 972
bado mpaka lini sasa?Leo hii ukipita Karatu,
ni kama sijui wapi,
watu wamejenga sana ila kule Gulioni bado bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bado mpaka lini sasa?Leo hii ukipita Karatu,
ni kama sijui wapi,
watu wamejenga sana ila kule Gulioni bado bado.
sasa nona bora tugeuze mnada
Nini....??mnada wa nini?
Nini....??
Kumbe huu mchezo bado unaendelea nilidhani ameshapatikana mshindi.
Mshindi hapatikani mpaka kieleweke.
Kieleweke nini? Ili watu tujipange vizuri.
Kaka....!! Sawa lakini demu wangu siwezi kula naye.Vizuri kula na Nduguyo kaka!
Kaka....!! Sawa lakini demu wangu siwezi kula naye.
Naye pia atakuwa hawezi kula na wewe.
Kwani unaogopa nini Katavi.
Katavi anaogopa kula vya watu kwani anajua na vyake vitaliwa
Vitawila? Kwani anaogopa? Hajui kwamba ukila nawe lazima uliwe? Kama kaka mkuu alivyotuagiza.
Alivyotuagiza na tufanye.
Tufanye yale yanayompendeza Mungu pekee.
Pekee hayatoshi pasi nakuongeza sala zetu.
Sala zetu serikali ya Magamba ing'oke madarakani na askari walioua wapewe stahili yao
Stahili yao kupewa kupitia serikali hii ya....... Sahau kabisa.
Sitaogopa kitu kama noma na iwe noma.Kabisa nasema na WaniMwangosi sitaogopa.
Sitaogopa kitu kama noma na iwe noma.