Mengi kapandisha bei ya soda!!
Mengi kapandisha bei ya soda!!
Sana tu, BAGAH anatuharibia mchezo.
lina-continua kama kawaida.mchezo nilijua umekwisha na mshindi kapatikana, kumbe game lina-continua...
lina-continua kama kawaida.
Kawaida ndo mpango!
Mpango mzima hapa hakutakuwa na mshindi.
Mshindi ni mimi au hujasikia?
Hujasikia cdm wamepigwa chini kwenye uchaguzi wa meya mwanza?
Mwanza wasipokuwa makini majimbo yanarudi CCM.
CCM imeshafulia haina jipya.
CCM imeshafulia haina jipya.
jipya ndio kama hilo limetokea leo huko usukumani...