mwana mkubwa wa jk ndiye injini ya wizi wa rasilimali zetu. Fukuza huyo shetani
shetani sio mwana mkubwa wa jk peke yake, yapo mashetani mengi sana hapa nchini.
kwa sasa? Mh!! Wala usitake uijue BAGAH utatamani kuhama
yetu au yako....?kuhama ahami mtu labda wao ndio watuachie nchi yetu
yetu au yako....?
mimi siitaki tena hii nchi ya asali na maziwa...lakini shida kila kukicha
Kila kukicha kuna jipya!
jipya hakuna...tunapasha viporo tu hapa.
Hapa naona mnajaribu kuunga unga maneno, mi napita tu.
tu n mm mshindi
viziwa vya saa 6 au malapa...
Viziwa vya akanana vimeleta mtafaruku.
mtafaruku gani tena hebu tupe story