Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani unamuuliza?
spend less, save more
Wewe Chandarua nini bana.Game umeikosea.
Unaanza na neno la mwisho ambalo ni wewe
Wewe Chandarua nini bana.
Kuna baadhi ya Mbu wanapitisha Sindano zao ukijipendekeza karibu yao pamoja umo ndani ya Chandarua.
Unastukia Nywiiiii😀.
Ahsante sana Madame, nimekupata vizuri sana.
Kosa nimeliona
Nimemtukana aliyenishika makalio kule SabasabaNimeliona kosa lakini nimemtukana
Nimemtukana aliyenishika makalio kule Sabasaba
Macho yangu yanatoa machozi ya damuChura ya haja hata ukiihisi tu fumba macho.
Damu yako ni ya thamani sana,wacha nije nkufute.Macho yangu yanatoa machozi ya damu
Nkufute nawe pia maana naona umedondokewa na tone la tomatoDamu yako ni ya thamani sana,wacha nije nkufute.
Tomato inatia doa sugu kwenye nguo,ifute kwa ulimi isisambae zaidi.Nkufute nawe pia maana naona umedondokewa na tone la tomato
Zaidi na zaidi katika pitavpita zangu humu jf nik\kutana na huu uzi.Tomato inatia doa sugu kwenye nguo,ifute kwa ulimi isisambae zaidi.
Uzi umenoga ka 0713Zaidi na zaidi katika pitavpita zangu humu jf nik\kutana na huu uzi.
0713 hivi uwa ni tigo au zantelUzi umenoga ka 0713
Delta Force
0713 haipaswi kunoga maana ni kharamu shekhe wangu.Uzi umenoga ka 0713
Delta Force
Zantel keep talking0713 hivi uwa ni tigo au zantel
Wangu ina maana gani?0713 haipaswi kunoga maana ni kharamu shekhe wangu.