JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Game umeikosea.
Unaanza na neno la mwisho ambalo ni wewe
Wewe Chandarua nini bana.

Kuna baadhi ya Mbu wanapitisha Sindano zao ukijipendekeza karibu yao pamoja umo ndani ya Chandarua.

Unastukia Nywiiiii😀.

Ahsante sana Madame, nimekupata vizuri sana.

Kosa nimeliona
 
Nimeliona kosa lakini nimemtukana
 
Mombo ni mtu ambaye akili zake hazina akili

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom