Asali ya bibi au ya nyuki?Kutamu e...
Unataka nambia Utamu wake unazidi Sukari na Asali?
Nyuki wale wenye mabawa?Asali ya bibi au ya nyuki?
Mabawa ya ndege ya Malaysian air yalionekana Zanzibar nasikiaNyuki wale wenye mabawa?
Nasikia wizara zinahamia DosomaMabawa ya ndege ya Malaysian air yalionekana Zanzibar nasikia
Dodoma wengine si wamekataa kwenda?Nasikia wizara zinahamia Dosoma
Kwenda zako wewe, unadhani huu ni utawala wa Jakaya?Dodoma wengine si wamekataa kwenda?
Jakaya yule aliyetoka Bagamoyo?Kwenda zako wewe, unadhani huu ni utawala wa Jakaya?
Bagamoyo nasikia ndio kuna Kaole ruins, kweli?Jakaya yule aliyetoka Bagamoyo?
Kweli hiyo vepeeeeee.....unawashwa?Bagamoyo nasikia ndio kuna Kaole ruins, kweli?
Unawashwa wewe Madame BKweli hiyo vepeeeeee.....unawashwa?
B for Bottle, omba kingineUnawashwa wewe Madame B
Kingine kipi hicho?B for Bottle, omba kingine
Hicho hicho, ndio maana nimeamua kujichezea hii game peke yanguKingine kipi hicho?
Yangu nafsi imenituma lazima utakuwa na chupa ya kilaji sio Kw speed hiiHicho hicho, ndio maana nimeamua kujichezea hii game peke yangu
Hii sasa ni balaa kubwa, kilaji usiku mbaya huuYangu nafsi imenituma lazima utakuwa na chupa ya kilaji sio Kw speed hii
Huu ni wakati wa kubana matumizi magu kakaba kila konaHii sasa ni balaa kubwa, kilaji usiku mbaya huu
Huu mchezo unahitaji akili iwe imechangamka kidogo. Nichangamshe basiHii sasa ni balaa kubwa, kilaji usiku mbaya huu
Kona bar club imefungwa nasikiaHuu ni wakati wa kubana matumizi magu kakaba kila kona
Sent from Samsung Galaxy s8+
Basi za mwendo kasi nasikia zinaanza ruti ya Gongo la mbotoHuu mchezo unahitaji akili iwe imechangamka kidogo. Nichangamshe basi
Kimara hamtapata tena shida ya usafiri waweke na barabara ya Nyerere nayo inakuwaga jam saanaBasi za mwendo kasi nasikia zinaanza ruti ya Kimara