kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Lambalamba naambiwa ni tamu sana.
Mzee wa lambalamba Pamoja
Pamoja na bangi nayo navutaga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lambalamba naambiwa ni tamu sana.
Mzee wa lambalamba Pamoja
Navutaga Kamba mpaka inakaza ninapokuwa nafungasha MizigoPamoja na bangi nayo navutaga
Mizigo mikubwa huwa naipenda sanaNavutaga Kamba mpaka inakaza ninapokuwa nafungasha Mizigo
Kila idara inanuka rushwa kwenye nchi yanguSana sana jamii forum hainaga mpinzani katka kila idara
Sana sana ile Mizigo iliyojazia kiukweli.Mizigo mikubwa huwa naipenda sana
Yangu mimi macho.Kila idara inanuka rushwa kwenye nchi yangu
Idara zote zimekamilikaSana sana jamii forum hainaga mpinzani katka kila idara
Zimekamilika zile nyumba za nhcIdara zote zimekamilika
NHC kirefu chake si ndio National Housing Corporation.Zimekamilika zile nyumba za nhc
Hahha yako umeniacha Kiongozi.Mboto ni muigizaji mzuri hahha
Akili kweli ni Mali.Mombo ni mtu ambaye akili zake hazina akili
Post sent using JamiiForums mobile app
Wenzangu mbona hamuonekani?Wangu akiwa kwangu akitoka nje ni wa wenzangu
Post sent using JamiiForums mobile app
Katamu kama bando lipoWenzangu mbona hamuonekani?
Njooni tuje kucheza haka kamchezo Katamu
Lipo sawa, lisipokuwepo basi tutasubiri mpaka uchumi utakapokaa sawa.Katamu kama bando lipo
Mlimbwende nitakuwa mimi?Lipo sawa, lisipokuwepo basi tutasubiri mpaka uchumi utakapokaa sawa.
Hilo la Bando nalo neno.
Habari ya kupotea Mlimbwende?
Linasimama?Mlimbwende nitakuwa mimi?
Ziwa mpaka nipige deki ndio linasimama?