Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
kawimbo haka kananitiaga uchunguTanzania Tanzaniaaaa....nakupenda kwa Moyo woteee...nchi yangu desh desh desh...nakapenda haka kawimbo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kawimbo haka kananitiaga uchunguTanzania Tanzaniaaaa....nakupenda kwa Moyo woteee...nchi yangu desh desh desh...nakapenda haka kawimbo!
Mafisadi wameifikisha nchi pabaya sana, kuwang'oa litakuwa jambo jema.lazima tupambane mpaka tuwaang'oe na kuwashtaki mafisadi.
kawimbo haka kananitiaga uchungu
Mafisadi wameifikisha nchi pabaya sana, kuwang'oa litakuwa jambo jema.
Tanzania Tanzaniaaaa....nakupenda kwa Moyo woteee...nchi yangu desh desh desh...nakapenda haka kawimbo!
Nimemmiss sana shemeji Erick, mbona kapotea ghafla?sisi hatujambo, ila shemeji yako haonekani! nimemmis!
kawimbo haka kananitiaga uchungu
Yako majitu hapa wala hayana uchungu na nchi yao. Ningekuwa na uwezo ningewahamishia somalia.uchungu huo najua unatokana na uzalendo ulio nao kwa nchi yako!
Kamanda haya maneno mbona unatumia sana nguvu?
Wewe unaeshikilia kuvaa pamba aina moja ndio rahis kukutoa mshipa!
Eti mkeo. Kwani mke nini? Huyo huyo ndio poa namega then akiridi
unazama chumvini kula masalia ya shabhan.
Tu marafiki sana swahiba, hakuna wa kuuvunja urafiki wetu. Nashukuru kwa salam swahiba, nimezipokea huku natabasamu!
Uchungu unazidi pale unapoimba maneno hayo wakati hayaendan na uhalisia!
Nimemmiss sana shemeji Erick, mbona kapotea ghafla?
mashuleni hakuna la maana linaloendela zaidi ya kuuza visheti na mandazi na kuvujisha mitihaniKawimbo kazuri sana ila watoto hawafundishwi tena huko mashuleni.
Kongosho alivyopigwa ban chit chat tulikosa raha kabisa.kawimbo utadhani kameimbwa na kongosho!
Nitonye nampenda sana swahiba, akisafiri huwa nakosa raha.tabasamu lako halimuishi hamu nitonye.
kongosho ananiachaga hoikawimbo utadhani kameimbwa na kongosho!
Nitafurahi sana siku CDM ikiongoza Tanzania.ghafla akitokea smile hapa nitafurahi!
Uhalisia uliisha siku uliponipora Rejao, kilichobaki sasa ni bifu tu.
somalia patayafaa kwani yamalizwa na Al shababYako majitu hapa wala hayana uchungu na nchi yao. Ningekuwa na uwezo ningewahamishia somalia.