sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Mitihani inavuja kila mwaka afu wala wizara husika haitoi tamko la kuridhisha.mashuleni hakuna la maana linaloendela zaidi ya kuuza visheti na mandazi na kuvujisha mitihani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitihani inavuja kila mwaka afu wala wizara husika haitoi tamko la kuridhisha.mashuleni hakuna la maana linaloendela zaidi ya kuuza visheti na mandazi na kuvujisha mitihani
Mazingira kwa baadhi ya mikoa haswa Dar sio ya kuridhisha, uchafu umetapakaa kila mahali.JEMA ilikua ni club yangu ya Mazingira!
Nitonye nampenda sana swahiba, akisafiri huwa nakosa raha.
kongosho ananiachaga hoi
Thread inachekesha sana swahiba, wacha tukomae mpaka tuone mwisho wake.Huu mchezo hauwezi kuwa na mwisho. Ningekuwa mod ningechangia halafu nafunga thread.
Peponi ni mahali patakatifu, kamwe hawataingia walio na mioyo michafu.Raha unipayo na wewe hunifanya nijihic kama vile niko peponi
Thread inachekesha sana swahiba, wacha tukomae mpaka tuone mwisho wake.
hoi hoi na nderemo vinakuja siku ya harusi yangu, kaeni mkao wa kushangilia
Watam eeh? Subiri siku ukinatishwa na supa glue ya kienyeji ndio utaujua utam vizuri.WAKE za watu ni wat....m!
Uhalisia uliisha siku uliponipora Rejao, kilichobaki sasa ni bifu tu.
linapoingia wapi?kushangilia bao linapoingia!...
Kushangilia ni wajibu wetu sisi kama marafiki zako wa karibu, fanya ufunge mapema.hoi hoi na nderemo vinakuja siku ya harusi yangu, kaeni mkao wa kushangilia
linapoingia wapi?
Wapi kapotelea sweetheart wako Taijike?
linapoingia wapi?
Kushangilia ni wajibu wetu sisi kama marafiki zako wa karibu, fanya ufunge mapema.
Wapi kapotelea sweetheart wako Taijike?
Raha unipayo na wewe hunifanya nijihic kama vile niko peponi
Wameoana? Vipi asitupe taarifa?Taijike kakutana na Taidume...wameona!
mapema tu, mipango inaendelea...