sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Kapotea afu hajaaga.Taijike kumbe kapotea ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapotea afu hajaaga.Taijike kumbe kapotea ?
Wameoana? Vipi asitupe taarifa?
Arumeru ilikuwa raha sana, muulize Erick manake tulikuwa nae.TAARIFA mbona ilitolewa...nahisi ulikua busy arumeru!
Mipango ipi shem? Hivi unamwamini Smilling Saint?inaendelea wapi hiyo mipango?
Hawarudi manake kule ni raha, hakuna njaa wala magonjwa.peponi kuzuri ndo mana wakienda huwa hawarudi
Inaendelea? Vipi sijapangwa kwenye kamati?mapema tu, mipango inaendelea...
Hawarudi manake kule ni raha, hakuna njaa wala magonjwa.
Inaendelea? Vipi sijapangwa kwenye kamati?
Inaendelea? Vipi sijapangwa kwenye kamati?
Hii sread mbona naona imeanza kuchakachuliwa:biggrin:
Sana sana mie nilitaka kujitolea.KAMATI siku hizi imekua ni ulaji...mbona mnang'ang'ania sana?..
Mipango ipi shem? Hivi unamwamini Smilling Saint?
Duniani kuna raha, ila nahisi peponi kuna raha zaidi.MAGONJWA yote tutayaacha duniani...
Sana sana mie nilitaka kujitolea.
Duniani kuna raha, ila nahisi peponi kuna raha zaidi.
Ndege ya rais ilifanya watanzania tukala nyasi, ila mbona kama ni mbovu mda wote?Smiling Saint ni noma...leo mchana kampeperushia Mtei One ndege.
Aspirin dawa?basi mie nataka panadol..niwe na kasi kama Ronaldo