sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Kichaga naweza kukiongea kidogo....tena mara nyingi nikienda migombani.kujitolea wapi...wakati unadamu ya kichaga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaga naweza kukiongea kidogo....tena mara nyingi nikienda migombani.kujitolea wapi...wakati unadamu ya kichaga!
Ndege ya rais ilifanya watanzania tukala nyasi, ila mbona kama ni mbovu mda wote?
Kichaga naweza kukiongea kidogo....tena mara nyingi nikienda migombani.
Mungu ni mmoja tu.ZAIDI ukiwa umeishi maisha yakumpendeza Mungu!
Shemeji naona pombe imeanza kuingia kichwani, funda moja tu la ziada litakuumbua.migombani kunakuwaga na raha bana...kule hatuendi guest...uongo shemeji?
Nae Bagah anataka nini wakati alikuja Arusha akajikausha?Arumeru ilikuwa raha sana, muulize Erick manake tulikuwa nae.
Mbona vyombo vya habari havikuitangaza hiyo habari?WOTE waliohusika katika tuhuma ile walimgeuka mbona.
Litakuumbua Bagah usipoangaliaShemeji naona pombe imeanza kuingia kichwani, funda moja tu la ziada litakuumbua.
peponi AminaRaha unipayo na wewe hunifanya nijihic kama vile niko peponi
Akajikausha bila aibu, sijui alidhani sie tu wachovu kama yeye.Nae Bagah anataka nini wakati alikuja Arusha akajikausha?
Usipoangalia mvua itakukuta ofisini, naona kama mawingu yamekuwa mazito.Litakuumbua Bagah usipoangalia
Ikombolewe na wananchi wote kwa kufuata mfano wa Arumeru na ArushaTanzania iko mikononi mwetu ni lazima ikombolewe
Mazito ee? Mi sioni kwa kuwa nimejifungia ndaniUsipoangalia mvua itakukuta ofisini, naona kama mawingu yamekuwa mazito.
yeye ni kawaida yake kujikausha kwa kuwa anapenda sana kuficha ile kitu inapoteza akiliAkajikausha bila aibu, sijui alidhani sie tu wachovu kama yeye.
Arusha tuko juu.Ikombolewe na wananchi wote kwa kufuata mfano wa Arumeru na Arusha
Akili za Bagah huwa zinapotea akishalewa.yeye ni kawaida yake kujikausha kwa kuwa anapenda sana kuficha ile kitu inapoteza akili
Ndani sa ingine ni pazuri manake hupati kero nyingi za huku nje.Mazito ee? Mi sioni kwa kuwa nimejifungia ndani
Juu kama nyotaArusha tuko juu.
Akishalewa huwa anakuwa mzigo kama alivyo mumeo NitonyeAkili za Bagah huwa zinapotea akishalewa.
Juu kama nyota