JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Free style ndilo jina sahihi la hili game la the last man standing kwani ni colabo ya nguvu
 
sikujua hili game lingeisha.
Nilidhani litaisha kwenye kampeni za 2015.
 
2015 Kanumba alitaka kugombea ubunge shinyanga.
 
Mkuu misiba inamchanganya,mara Malawi mara Kanumba
.
Kanumba ameanzishiwa threads karibu majukwaa yote humu Jf, me ndo nafikiria nitoke na uzi wa aina gan about "hayati"
 
Back
Top Bottom