Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,803
kamwe siwez kukuamini wewe mzushi
Mzushi? Kamwe Erick si mzushi, wazushi ni Ritz Na Rejao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamwe siwez kukuamini wewe mzushi
Mzushi? Kamwe Erick si mzushi, wazushi ni Ritz Na Rejao.
Rejao mzee wa jipua....
mzee wa jipua...ndo anafananaje?mbona majina mengine kama mzizi wa loliondo?
Loliondo hakuna dili siku hizi...
Hizi ni dalili za kuja na mambo mapya.....
Kanumba anazikwa kama presidaaa..viongozi na watu maarufu wa ndani na nje ya nchi. Ama kweli alivyojiita the great hakukoseaMapya ni hayo ya Lulu na Kanumba
Mapya ni hayo ya Lulu na Kanumba
Kanumba atakumbukwa daima
Daima milele....
Milele? Aah wapi. Ita-make headlines for a while then ikitokea issue nyingine hot hii inawekwa kapuni.
Kapuni sawa itawekwa,ila tutamkumbuka daima
Daima ni msemo tunaoutumia kwakuwa tuna uchungu bado...wanadamu tumeumbwa kusahau..ukiwatafuta waliokuwa wanalia hadi kuzimia leo utawakuta wanakula na kunywa kwa furaha...hawamkumbuki kwa sauti..ni kimyakimya moyoni
Ivo ni kawaida kwa waliopendana....Ila tumuombee afike salama aendakomoyoni mwa lulu na wema ndo atabaki milele. Sie wengine ndo tushasahau ivo..
Rejao akihama CCM atakuwa mtu safi sana ila kwa sasa atakuwa hana raha kisa sababu za CCMMzushi? Kamwe Erick si mzushi, wazushi ni Ritz Na Rejao.
Moto ni noma sana aiseeaendako kuna raha jamani. Yani hamna kula cjui kusoma wala kwenda kazini, inshort amna tabu za dunia.. Cjui ataenda uko au kule kwa moto