Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,803
Kazi kitu gani kama hakuna maslahi??
Maslahi ni muhimu kwa kila mfanyakazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kitu gani kama hakuna maslahi??
Maslahi ni muhimu kwa kila mfanyakazi.
mfanyakazi bora hufuata kanuni na taratibu za kazi!
Sana tu hata hii ni ya umuhimu..Sticy thread zote huwa za muhimu sana.
Sana tu hata hii ni ya umuhimu..
Sana tu hata hii ni ya umuhimu..
Umuhimu gani! Thread ndefu kama reli
Umuhimu gani! Thread ndefu kama reli
Reli yenyewe iliyochakaa toka sijui mwezi april.
Umuhimu gani! Thread ndefu kama reli
April mosi si ndio siku ya wajinga,
yani nikikumbuka walivyonitenda,
nabaki Nalia.
mjinga ni wewe unayetaka kumaliza game wakati refarii bado hajapuliza kipenga,