Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Sasa tukusaidiaje?
Tukusaidiaje wewe hapo ambaye hujaelewa. Kwa hiyo unataka niende jela??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tukusaidiaje?
Wako watu wanasema mwanafunzi kukupeleka jela ni sawa na nzi kufia kwenye kidonda.
Wako watu wanasema mwanafunzi kukupeleka jela ni sawa na nzi kufia kwenye kidonda.
Changa wapi Mamndenyi...!! Zimekomaa kabisa na ziko tayari kwa kuliwa.
kuliwa hivihivi au mpaka uweke chumvi na pilipili?
pilipili manga kwenye uji inapendezaje!!
Inapendezaje??
Tena uji uwe na maziwa kiasi.
Kiasi cha maziwa ndicho kinatambulisha utamu wa uji kulingana na
maushauri ya mkuu KATAVI.
KATAVI kwetu maziwa yanapatikana kwa wingi, na hivyo uji kwa sana tu, ndipo maana tuna afya nzuri.
Nzuri ukiunywa huo uji,
upanue Miguu,Bakuli likae Katikati ndo utaona Utamu.
Utamu wa ngoma, ipate mpigaji....
Mpigaji tuu?
Na Utamu wa Kipele Umpate Mkunaji....
Mkunaji akiwa mzuri kipele kinakunwa vibaya sana.
Sana tu, mkunwaji anapata raha.
Raha ikizidi sana,
Mkunwaji hupata Maumivu ya Mkunaji :lol:
Mkunaji anatakiwa balance, alete raha tu.