JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

Bado hata robo fainaili kuanza eti KATAVI amejitangazia ubingwa.

Ubingwa gani huo anaoutaka kwa Nguvu?
Hapa ni Mwendo wa Chapa Ilale,
Wagumu by Nature Ndo Tunakomaa na Hili Game hadi Kisanuke.
Twende Kazi....
 
nakuja kama kawaida... sitaki utani kwanza Erickb52 hajatuambia michango ya harusi ya Judgement alipeleka wapi?
 
Last edited by a moderator:
nakuja kama kawaida... sitaki utani kwanza Erickb52 hajatuambia michango ya harusi ya Judgement alipeleka wapi?
 
Last edited by a moderator:
mshindi wa uefa ni iitaly wakati spain wakisaga meno. je Unabisha????
 
Mbali kweli au hujanielewa YNNAH ?
Siunajua ile kitu murua?
Samahani kama ni mama Ustadhi lol
Mzima?
Ntaka kufunga Game of the Year nijitangazie zawadi

zawadi nitakupa ukiacha kula kiti...mie ustadhat mwaya na situmii kiti
 
Last edited by a moderator:
Liwe lipi na inajulikana me ndio mshindi..

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom