CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
anitangaze me km mshindi, afu nampa cheo cha u-super moderator hapa jf hajui km me ndo huwa nawachagulia vyeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anitangaze me km mshindi, afu nampa cheo cha u-super moderator hapa jf hajui km me ndo huwa nawachagulia vyeo?
Vyeo vya kupewa hata sio.... Bidii ndo hutoa vyeo hapa.
Hapa hakuna vyeo vya kupeana.
Dushelele.....dushelele.....nikupe wewe? Ulivokatoto hivo? Mi nawapa Wakubwa tu.
Wakubwa tu???
Tafadhali haka sio katoto maisha tu yamekapiga lakini ni kakubwa kuliko hao wakubwa unaowapa dushelele....by the way bado hujanijibu Dushelele ni nini??
nini??!! hujui maana ya dushelele?? Remmy mjuze mwenzako!!Wakubwa tu???
Tafadhali haka sio katoto maisha tu yamekapiga lakini ni kakubwa kuliko hao wakubwa unaowapa dushelele....by the way bado hujanijibu Dushelele ni nini??
nini??!! hujui maana ya dushelele?? Remmy mjuze mwenzako!!
Nini bana? Unataka kitu Usokijua? Dushelele ni mshededee.
wewe!! si ameshakuambia ni mshedede
hahahahaaaah!! kumbe we unahitaji nini??Mshedede kama ni hiyo sihitaji.........hahahahaaah!!
hahahahaaaah!! kumbe we unahitaji nini??
Nini...?
nini?? aah nshajua!!Nini...?
hapa tunamtafuta mshindi catherine!!nini mnafanya hapa?