Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
'ngozi nene' a.k.a javascript
Javascript anavunja sheria,nani kamwambia ajitangaze mshindi?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'ngozi nene' a.k.a javascript
Javascript anavunja sheria,nani kamwambia ajitangaze mshindi?
mshindi siyo lazima awe Javascript the person, It could be javascript the scriptting language.
Language gani mnayoongea jamani?/
Halafu nasikia kuna watu wanajitangaza washindi wakati majaji bado hawajaamua...
hawajaamua...ila tayari ameshajulikana wanasubiri tu siku ifike wamtangaze.
Wamtangaze nimeshachoka kusubiri hiyo zawadi yangu.
Zawadi yangu imeshakuwa yako mara hii?
Hii ya leo kali, wote mnajishembendua tu...wangu ushindi utadhihirika mwishoni
mwishoni wapi wee, hii haina mwisho, hapa kinaputwa hadi sridi yenyewe ikatae....!!
Lol? Baga mbona menu ya ukweli.....
Ukweli wapi wakati umechakachua thread??
Wengi waliomo humu hawajulikani jinsia zao.Dem mwema? Labda kama unataka friends with benefits..hapo.utapata wengi..
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums