Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,803
hagusi nini...maana vinavyoguswa vingi ati yakhee..!!
Yakheee...! Unapenda halua au tendee....! Si unajua unaongeza ibada kwenye mwezi huu mtukufu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hagusi nini...maana vinavyoguswa vingi ati yakhee..!!
Yakheee...! Unapenda halua au tendee....! Si unajua unaongeza ibada kwenye mwezi huu mtukufu.
mwezi huu mtukufu ukiisha Madame B nataka nikutoe out...:wink2:
Out mathematics?
Dah!
Ningekuwa cjafunga ningekutafuta hata leo.
Ila mbona nna wacwac na ofa yako,
ruttashobolwa anajua lakini?
Out mathematics?
Dah!
Ningekuwa cjafunga ningekutafuta hata leo.
Ila mbona nna wacwac na ofa yako,
ruttashobolwa anajua lakini?
anajua lakini nini? hii ni sisi wawili tu, mimi na wewe :violin:
lakini madame b muogope mathematics kama njaa out ya nini wakati hajasema sababu.
wewe jiangalie usije ukaishia mwabepande
mwabepande? kwani hiyo kitu ni mali ya mkubwa?!:crazy:
Mkubwa mwenyewe ni zaidi ya papaa Rejao.
Rejeo hasijadiliwe swala lake liko mahakamani.
Mahakama zip,hz ambazo hak tunanunua
Tunanunua kama njugu, wakiambiwa wanawaka kama pilipili.
sababu nimemtumia PM 🙂 , kwani kuna tatizo mimi kumtoa out Madame B?! acha hizo we ruttashobolwa:eek2:
ruttashobolwa anatakiwa ajue kila kitu,
maana mimi nimekabidhiwa kwake nilipotoka kwetu Sitimbi kuja mjini.
mjini hakuna mchezo unaweza ukaachwa kwenye mataa usikubali hata kidogo
kitaa unacho kaa mathematics ana taka ahamie kama vip tutaongeza ulinzi.