Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Bure ina gharama!!
gharama inatoka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bure ina gharama!!
gharama inatoka wapi?
Wapi zaidi ya kuvurumisha maneno machafu kwenye kadamnasi.
Kuhusishwa na nini wakati Mathematics yuko bize na hesabu za bajeti.
bajeti wapi labda ya vitumbua.
Tu na ku share miili.
miili yetu tuache iwe pamoja beiby , ruttashobolwa wivu ameze vyupa,:yo:
vyupa utameza wewe utakapo jikuta uaishia kuandika kwenye hii game alaf me mtoto niko nae hapa anacheka tu.
kadamnasi itakuwa kubwa sana siku nikimvisha Madame B pete, ruttashobolwa hataamini yake macho na masikio!
huu ndio mwisho wake lazima ajinyonge
hicho king'ang'anizi chake ndio kitammaliza si unaona hadi sasa pressure juu.
Juu kbs maana hata kuonekana haonekani.
mfupiii? Hili gemu balaa, haliishi bana mi nipenini zawadi yangu bana! Ala!Haonekani kwasababu ni mfupi.
alaa kumbe ni wewe, hivi flora msoffe ni ndugu yako?
yako ikoje?
Masikio yako nadhani hayackii vizuri.
ruttashobolwa ameshakueleza kila kitu.