mathematics
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 3,322
- 1,110
hicho king'ang'anizi chake ndio kitammaliza si unaona hadi sasa pressure juu.
pressure juu labda ya kwako, watu tunafaidi PM, Madame B hebu tuma tena 🙂
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hicho king'ang'anizi chake ndio kitammaliza si unaona hadi sasa pressure juu.
je ennie unamjua mathematics wewe? alikuwa ana kuulizia mpaka analia humu jamvini
je ennie unamjua mathematics wewe? alikuwa ana kuulizia mpaka analia humu jamvini
kila kitu amenieleza, kuwa yeye ni mshika mapembe tu,:bounce:
lolote na liwetupa kule proposal zote za mathematics baby B hacha tujinafasi kwani hana lolote.
lolote na liwe
maumivu mi naona ni kwa wote tu wala sio kwa mathematics peke yakeliwe nini wakati game inaendelea na mathematics anaambulia maumivu.
maumivu mi naona ni kwa wote tu wala sio kwa mathematics peke yake
kujitoa roho kwa ajili ya maumivu!!!!!!!!!!! ni maumivu gani hayo?yake yamezidi hadi ana taka kujitoa roho!
kujitoa roho kwa ajili ya maumivu!!!!!!!!!!! ni maumivu gani hayo?
Kupendwa mpendwe nyinyi nikipendwa mimi mnanuna,,Embu niacheni na bibi cheka wanguHayo ni maumivu ya kupenda asiyejua maana ya kupendwa.
Kupendwa mpendwe nyinyi nikipendwa mimi mnanuna,,Embu niacheni na bibi cheka wangu
Kupendwa mpendwe nyinyi nikipendwa mimi mnanuna,,Embu niacheni na bibi cheka wangu
Klle za mlango wangu hazinishughulishi
hazinishughulishi hata mimi kwani sizisikii naendelea kuchapa usingizi.
kuchapa usingiz wapi wewe, mawazo yamekujaa unamuwaza niliye naye hapa, ishakula kwako:israel:
kwako imebaki story mtoto kalala nimetoka kumchum sasa hivi umechelewa
umechelewa wewe kulala shauri yako kesho ukichelewa kazini boss wako mama nanihii atakutoa nduki kwa ufagio, :yawn:
wenzako tumejiajiri no wasiwasi,:yo:
umechelewa wewe kulala shauri yako kesho ukichelewa kazini boss wako mama nanihii atakutoa nduki kwa ufagio, :yawn:
wenzako tumejiajiri no wasiwasi,:yo: