JamiiForums game of the year

JamiiForums game of the year

kiulaini? Aaah wapi nilijaribu kumkaribsha sebuleni lakini ni kaona ana taka kuingia jikoni.

Jikoni chakula kimeisha,
nashangaa anapeleka domo zito lake.
Beibe ruttashobolwa hebu come huku chumbani mara moja kuna uzinduzi wa shuka jipya nililonunua juzi.
 
Last edited by a moderator:

Juzi hukuwa na hela bhana, acha uwongo,kutwa nzima ulishinda ndani...hilo shuka ulinunulia wapi?
 
Wa wapi wewe?
Hujui kama mimi nina special order toka HSC? Hata nikiwa ndani naletewa tu?
Sizinga we sema gemu limekushinda.
 
Last edited by a moderator:
Jikoni chakula kimeisha,
nashangaa anapeleka domo zito lake.
Beibe ruttashobolwa hebu come huku chumbani mara moja kuna uzinduzi wa shuka jipya nililonunua juzi.

juzi me mwenyewe nilitaka ni nunue shuka lakini ni kajua tu beib wangu ukitoka lazima uje na shuka, kwa hiyo mimi ntanunua j.mosi ili tulizindue j.tatu, acha nije tulizindeue hilo hadi saa 11 jioni.
 
Last edited by a moderator:
juzi me mwenyewe nilitaka ni nunue shuka lakini ni kajua tu beib wangu ukitoka lazima uje na shuka, kwa hiyo mimi ntanunua j.mosi ili tulizindue j.tatu, acha nije tulizindeue hilo hadi saa 11 jioni.

...jioni inakaribia hubby,
twende tukazindue jamani n'tamwita mwingine.
 
Back
Top Bottom