Tram Almasi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 748
- 227
Yajayo? Unasubiri yajayo na huna uhakika nayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yajayo? Unasubiri yajayo na huna uhakika nayo?
Nayo yanafaa kuwekwa hadharani
kiti kidogo makalio makubwa ntakaa wapi nafasi zimeisha
kiti kidogo makalio makubwa ntakaa wapi nafasi zimeisha
Zimeisha purukushani za madaktari.
Kitaeleweka tu liwalo na liwe..
Liwe liwalo! Mambo yote Jk akiongea na waandishi.
amani ndo swala muhimu kwetu waTanganyika
Sisi tumezid uoga lakini
wataalamu wa kuongea maneno mengi kuliko vitendo.
mwenzio akinyolewa wewe tia majiVitendo vyako ruttashobolwa havieleweki. Inaonekana hujalielewa hili game. Unatakiwa uanze sentensi yako na neno la mwisho kwenye sentensi ya mwenzio