05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,650
Salaam waungwana, Moja kwa moja namshukuru Allah kwakuendelea kutuweka salama mpaka Sasa.
Na pili namshukuru kwakutupa hiki kichwa Maxence Melo na kuendelea kukilinda. Napendekeza JF kama organization iende mahakamani kuishitaki serikali mara baada ya kufungia JF isivyohaki kwa siku 90.
Ufafanuzi wa kile JF imefanya ni kwamba post inayolalamikiwa ni JF walifanya quotation ya kile Polepole amefanya, kwa misingi hiyo inabidi atafutwe Polepole na siyo Maxence Melo wetu .
Nipo tayari kuchangia pesa ya kuendeshea kesi
Soma > Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums