iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 5,214
- 10,169
IndeedKWA MAHAKAMA IPI! ROSTAM ALISEMA HUWEZI PATA HAKI KWENYE MAHAKAMA AMBAZO ZINAPIGIWA SIMU KUPEWA MAELEKEZO
IndeedKWA MAHAKAMA IPI! ROSTAM ALISEMA HUWEZI PATA HAKI KWENYE MAHAKAMA AMBAZO ZINAPIGIWA SIMU KUPEWA MAELEKEZO
Uko na kimwandiko kizuri sanaKizuri kinajiuza, jf sio ya mello ni ya wa TZ yeye ni mwanzilishi tu
Na uzuri anajua kusimama alipo na ndio maana itaendelea kuwa na pumzi bila tag yeyote ile
Hili nalo litapita jf forevaaa
Hiyo hela si unipe nianze hata msingi mkuu,kiwanja kimekaa tuJf inawadau hadi kule marekani kwanini tusiishitaki serikali huko nje maana mahakama za ndani ni za ccm
Mimi nitachangia 2M pekee angu