Kwa hizi mahakama za fisi,mbuzi atapata haki kweli?
Kuifungia jf itakuwa ni maelekezo maalum kutoka juu
Wala jamii forum wasijisumbue kwenda mahakamani, kwa utawala wa uyu mama ni kupoteza muda na fedha, nchi sasa haifuati sheria, katiba, desturi na hata utamaduni, kumejaa wahuni kila kona.Salaam waungwana, Moja kwa moja namshukuru Allah kwakuendelea kutuweka salama mpaka Sasa.
Na pili namshukuru kwakutupa hiki kichwa Maxence Melo na kuendelea kukilinda. Napendekeza JF kama organization iende mahakamani kuishitaki serikali mara baada ya kufungia JF isivyohaki kwa siku 90.
Ufafanuzi wa kile JF imefanya ni kwamba post inayolalamikiwa ni JF walifanya quotation ya kile polepole amefanya, kwa misingi hiyo inabidi atafutwe polepole na siyo Maxence Melo wetu .
Nipo tayari kuchangia pesa ya kuendeshea kesi
Mahakama ni za ccm .hamna muhimili paleSalaam waungwana, Moja kwa moja namshukuru Allah kwakuendelea kutuweka salama mpaka Sasa.
Na pili namshukuru kwakutupa hiki kichwa Maxence Melo na kuendelea kukilinda. Napendekeza JF kama organization iende mahakamani kuishitaki serikali mara baada ya kufungia JF isivyohaki kwa siku 90.
Ufafanuzi wa kile JF imefanya ni kwamba post inayolalamikiwa ni JF walifanya quotation ya kile polepole amefanya, kwa misingi hiyo inabidi atafutwe polepole na siyo Maxence Melo wetu .
Nipo tayari kuchangia pesa ya kuendeshea kesi
Swali ni je kesi hiyo inaenda kufunguliwa kwenye mahakama ipi hiyo?.Salaam waungwana, Moja kwa moja namshukuru Allah kwakuendelea kutuweka salama mpaka Sasa.