JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

JamiiForums imenifanya tuamue maamuzi haya mimi na wife

Sikia nikuambie kitu kijana, uli kurupuka kuingia kwenye suala la ndoa wakati uchumi wako wa tia maji.

Ndoa sio ngono na nakupenda pekee, ile ni taasisi inayo endeshwa na watu ili iwe imara.

So life likizidi kuwa gumu, mrudishe wife kwao. wewe pambana kwanza.
Mkuu, umetoa somo kubwa sana ambalo vijana linawashinda sana. Vijana wanaingia ndoani bila kujua maana ya ndoa.
 
Hii sio solution kama ambavyo vidole havilingani hatuwezi kuoa/kuolewa kwakua na mafanikio tu,ndoa ni zaidi ya material things,upendo wakweli kuheshimiana na kushirikiana,ukiyaweza yote hayo hata kama mtalala njaa maisha yataenda tu
💯💯
 
Mkuu jina lako ni facts only ila hapa una leta masuala ya ramli tu, yaani kijana wa 35 bado hajui kilicho bora kwake?


Ok mtoto wa 1 ni bahati mbaya, wa 2,3 hadi 4 nao tuseme vipi?
Think twice before coming with weak answers, ili kuthibitisha hoja yako.

Hivi una jukumu la baba kudadadeki?, au ndio I'd yako nyingine hii 🤔
Mke azingatie uzazi wa mpango. Anaonekana ana uzazi mwingi, waweza kuta sasa hv ni mjamzito
 
Sikia nikuambie kitu kijana, uli kurupuka kuingia kwenye suala la ndoa wakati uchumi wako wa tia maji.

Ndoa sio ngono na nakupenda pekee, ile ni taasisi inayo endeshwa na watu ili iwe imara.

So life likizidi kuwa gumu, mrudishe wife kwao. wewe pambana kwanza.
Umeongea ukweli kabisa
Angeendelea kupiga mademu wa kitaa na sio kumuweka mwanamke ndani
 
Mkuu jina lako ni facts only ila hapa una leta masuala ya ramli tu, yaani kijana wa 35 bado hajui kilicho bora kwake?


Ok mtoto wa 1 ni bahati mbaya, wa 2,3 hadi 4 nao tuseme vipi?
Think twice before coming with weak answers, ili kuthibitisha hoja yako.

Hivi una jukumu la baba kudadadeki?, au ndio I'd yako nyingine hii 🤔
Sio ramli Mkuu ndiyo ukweli ukisoma story ya huyo jamaa inatosha kuelewa WHY ngoja aje na yeye ajibu.

Kuhusu mtoto 2,3 hadi 4 ni mwendelezo tu wa mtoto wa 1. Cuz Kuna wengine hawana elimu ya ku_plan uzazi na inakuwa mbaya zaidi kama mwanamke hana elimu kabisa ya uzazi wa mpango.

Yes naelewa jukumu lakuwa baba Mkuu na ndiyo maana namsemea jamaa cuz hajakimbia majukumu yake kama baba(ingawa ni baba masikini kama unavyosema wewe) and He still fight with her wife and their kids huo ndiyo uanaume sio kukimbia au kupeleka watoto kwa ndugu.

Ningekuwa kinyume na jamaa kama angekuwa amewakimbia/watelekeza watoto na huyo mke wake BUT kwakuwa amekomaa nao.

it's fine he made a mistake na inatakiwa apambane kama anavyo pambana na mke wake aelimishwe kuhusu uzazi wa mpango ingawa inaonekana ni too late.

Kuhusu ID hapana sina ID nyingine zaidi ya hii Mkuu.
 
JINA LINAKUJA NANI?

Ukitumiwa mtaji usije kuweka screenshot (picha ya muamala) yenye jina la mtumaji hapa.

Mimi nitatoa sadaka yangu ya mwezi kwako, nakutakia kila la kheri ukafanikiwe na familia yako.
Na Mungu akakubariki na akuongezee zaidi ulipotoa mkuu. Na kaka aende akaitumie pesa sawasawa na hitaji aliloomba ikazalishe zaidi.
 
Mkuu kwenye maisha usi pende ku operate kwa hisia Sana, hilo unalo lizungumzia ni suala la back in the 70,80 huko.

sikatai wavumilivu wapo, ila hilo sio life tena ni escape from sobibor.
"Where people relay in miracles than facts kudadadeki.

Vipi waki umwa ghafla?, nani ata wachangia?, luku, dharura au jf ndio mtaji wenyewe!
Nimeongelea ingeneral sio huyu aliekuja kuomba msaada hapa jf na pia sio mbaya kuomba unapo
uko kwenye ndoa mwaka wa ngapi?
Isije ikawa ni bachela unapiga porojo.
Mwaka wa tano huu mkuu we unayo ngapi¿?
 
Sio ramli Mkuu ndiyo ukweli ukisoma story ya huyo jamaa inatosha kuelewa WHY ngoja aje na yeye ajibu.

Kuhusu mtoto 2,3 hadi 4 ni mwendelezo tu wa mtoto wa 1. Cuz Kuna wengine hawana elimu ya ku_plan uzazi na inakuwa mbaya zaidi kama mwanamke hana elimu kabisa ya uzazi wa mpango.

Yes naelewa jukumu lakuwa baba Mkuu na ndiyo maana namsemea jamaa cuz hajakimbia majukumu yake kama baba(ingawa ni baba masikini kama unavyosema wewe).

Ningekuwa kinyume na jamaa kama angekuwa amewakimbia/watelekeza watoto na huyo mke wake BUT kwakuwa amekomaa nao.

it's fine he made a mistake na inatakiwa apambane kama anavyo pambana na mke wake aelimishwe kuhusu uzazi wa mpango ingawa inaonekana ni too late. Kuhusu ID hapana sina ID nyingine zaidi ya hii Mkuu.
Na akija wa 5 je??
 
Sikia nikuambie kitu kijana, uli kurupuka kuingia kwenye suala la ndoa wakati uchumi wako wa tia maji.

Ndoa sio ngono na nakupenda pekee, ile ni taasisi inayo endeshwa na watu ili iwe imara.

So life likizidi kuwa gumu, mrudishe wife kwao. wewe pambana kwanza.
Mkuu nadhani ungesubiri nikamalizia japo simulizi ili upime mzani
 
Mboju Kwa kusema AMINA utakua umeiruhusu hiyo pesa ikafanye kitu jumlisha katika maisha yako.

Lakini pia mwenyezi Mungu atambariki alietoa katika namna ya ajabu.

Na pia Mungu anibariki mimi kwa kukueleza hayo.

Sema AMINAAAA
Amina
 
Asante kwa hilo, maana twaweza kuwa tuna bishana na kijana yupo kijiweni ana kunywa kahawa.
Sipendagi kubishana vitu ninavyo weza kuthibiyisha mkuu unakaribishwa nyumbani ukawaone wife na watoto na maisha yetu kiujumla maana siogopagi sijui maswala ya watanionaje sijui sina vitu sinaga habari za aibu
 
Back
Top Bottom