JamiiForums ina mambo

Kingine madada wote wa jf walisoma chuo,utasikia "Wakati niko chuo....."
Alafu wote udsm, mtu akisema "wakati niko chuo mwaka wa kwanza" yaani bila kutaja jina la chuo basi huyo inafahamika hakusoma udsm.

Ikija ile vita ya diaspora na local citizens, basi kila mtu anewapondea diaspora atakwambia amewahi kuishi US miaka 10.

JF kila mtu ni mwenyeji dar hakuna ambae hajawahi kuishi dar,
JF kila mtu ana nyumba, anaeishi kwenye nyumba ya kupanga basi kapanga Sinza au Masaki.
JF kila mtu msomi wa ngazi ya chuo kikuu.


JF is full of fake stories.
 


😀😀😀😀😀 DAH umenifurahisha kweli, ngoja na mie nimtafute wa kumtoa povu 😀😀😀😀
 


kula like, hiyo hata mimi nimeiona sana ,

ila ni jf pekee ambapo kila mtu huitwa mkuu,
 
Pale unapotongoza mchepuko JF bila kujua huyo huyo ndio mkeo wa ndoa nyumbani. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
We shida yako umjue mtu au kudili na alicho kiandika?

em nieleweshe mantik ya thred yako.....
 
Ha ha ha a basi nikajua umeRIP kwa ukimya wako ndugu... kumbe upo unajivinjari tu na kina screpa na Numbisa
Hakika wewe ni ajabu la dunia lisilo na matangazo

Nakuona si muda, nadhani kama saa kumi utanisoma, imebidi nimute kwanza.

Hakuna kinachibadilika.
 
Tatizo kubwa la baadhi ya members wa JF ni kusoma post bila kuelewa kisha wanakomenti.
 
Watumiaji wa JF hakuna mtu wasiyemjua, Wewe muulizie mtu yeyote humu, utaambiwa hadi rangi ya chupi anayovaa
ndo unakuta mtu anakufahamu zaidi ya unavyojifahamu
hhahahaah vipi STUNTER yule CHIKIRA MTABARI unamfahamu?unamjua?
 
Kila mtu huku kasoma mwaka 1961 mpaka 1977. sasa nashangaa kila mtu huku mzee lakini komenti kama wamebalehe juzi.

kinachonishangaza zaidi watu wanaitana shemela, hubby, kichuna, mpenzi, baby sasa nashangaaga sijui wanajuana.

mara nimemiss mtu flani like miss x mara nampenda flani sasa nashangaa sijui wanajuana sasa embu toa povu mwingine aje akukariri una roho mbaya, unanifuatilia, kichololo chako kinakuwasha, unakiherehere sasa unajiuliza nayataka maandishi au avatar na umejuaje nakupenda au nimekutamani.

kinachoshangaza tena ukimkomenti mtu wataanza hawa wadada ohh nimewahiwa, na ndoa yangu aisehh huwa nachokaga

ukikomenti kinyume kabisa unakula ban aisehh nashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…