JamiiForums ina mambo

Ha ha ha ha hatarr tupu.
 
10.Wengine hawajuagi hata kah mishahara imetoka au inatoka lini,ila akiingia JF anakuta watu wanasema mi mshahara nimeshakula au umetoka zamaniii.kumbe wengne wanasema mishahara ya jobs ambazo sio official.....mtu anajilipa mwenyew.
 
Vijana wanasema ''JF sio poa''... Hahahah
 
jf bn kila mtu kasoma chuo ila haijalish cha upish au vp
 
Subiria majibu ya mwendokasi yatakayokuachanisha taya...Kuna watu wana majibu ya kushangaza mno humu ndani! Bingwa wao akiwa huyu jamaa MO11
Majibu ya kukata na shoka halafu mubasharaaa
 
umeshahau watu wanatongoza avatar wanadhani ni muhusika
 
Wengine ata week hatujamaliza,
[emoji205] Tutulie tusikilize wenyej
 
jf bn kila mtu kasoma chuo ila haijalish cha upish au vp
Ila hawa dawa yao ndogo sana ukileta thread ya english utasikia wanauliza mbona thread ndefu sana?
Hata kama ina mistari miwili
 
Kuna jamaa alitoa povu ktk uzi wa mshana jr kuhusu nguvu za giza, alipovuka eti mambo ya kishirikina hayana nafasi kwa wanakondoo, lakini baaada ya dk chache baadae, nikamkuta katika uzi mwingine anawatetea jamaa zake Kaoge, nikashindwa kujua idadi Ya miungu anayoabudu Jamaa!
 
Ukiandika Uzi kwa lugha ya kiingereza ukakosea kidogo kila mtu atakuambia
Mkuu ulisomea magu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…