Serious..Nakubaliana na ww mkuu na ata ukiwakuta hao wanawake ni wale sura ya baba (wenye sura ngumu)
Wee ukaingia mkenge.Hakika japo kuna Pisi moja humu mtandaoni ilikuwa inaji brand nikajua duh hii ni level za Mobetto siku ya kuona a nayo aisee nikasema siiamini tena mitandao
Hata sikuwa na nia ya kumtamani ila alikuwa ameniita ofisin kwake kwa ajili ya kaziWee ukaingia mkenge.
Wazee wa badoo na timder tulisha yazoea hayoo. Filter kibao njoo uonane nae sasa loh!
ndo unini huo..?
π financial services bhanambovu sana
ππ pisi mbovu plus age go aisee natimiza 40yrs mwaka huu, am bibi financial services ππ financial services bhana
Auditor wangu Bhanaa πππππ pisi mbovu plus age go aisee natimiza 40yrs mwaka huu, am bibi financial services π
Nilijua tuwashasema mbona!