JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

JamiiForums ina Wadada wazuri sana!

Hakika japo kuna Pisi moja humu mtandaoni ilikuwa inaji brand nikajua duh hii ni level za Mobetto siku ya kuona a nayo aisee nikasema siiamini tena mitandao
Wee ukaingia mkenge.
Wazee wa badoo na timder tulisha yazoea hayoo. Filter kibao njoo uonane nae sasa loh!
 
ndo unini huo..?
images (53).jpeg
 
Hivi unawezaje kuthibitisha kwamba Kuna PisiKali humu bila kuonana nao?

Nimekuwa humu miaka 10+ lakini sijabahatika kuonana hata na Mjukuu mmoja wa kumsimulia 🙌

Kweli Wazee hatuna bahati 😜
 
Back
Top Bottom