JamiiForums kila mtu yupo single

JamiiForums kila mtu yupo single

Sorry miss natafuta naomba uni PM kwan nitakiwa na kitu cha kukuuliza
 
Nina mke na vijana wangu wawili nawapenda sana wao ni sababu ya mimi kua napambana pamoja na maudhi yote ya bepari wangu sina sababu ya kuwakana wale walio bora zaidi kwenye maisha yangu.
 
Muda mwingine nyinyi wenyewe mnajichanganya sana tena hapahapa, sisi men malanyingi tunapenda mwonekano na maneno matam basiiii.. mala hooo mimi najua kupika, mala hoo mme wangu hatojutia kuwa namimi n.k..kwa maneno yenu hayo lazma mme wamtu hakudanganye tu!!!
 
1511669434853.jpg
 
Wanaume mna tabu vitu vidogo hivyo vinawachanganya khaaaa
 
Back
Top Bottom